Category: Tanzania

Tanzania National Anthem

Kiswahili lyrics 1. Mungu ibariki AfricaWabariki Viongozi wakeHekima Umoja na AmaniHizi ni ngao zetuAfrika na watu wake. CHORUS:Ibariki AfrikaIbariki AfrikaTubariki watoto wa Afrika. 2. Mungu ibariki TanzaniaDumisha uhuru na UmojaWake kwa Waume na WatotoMungu Ibariki Tanzania na watu wake. CHORUS:Ibariki TanzaniaIbariki TanzaniaTubariki watoto wa Tanzania. English translation 1. God Bless Africa.Bless its leaders.Let Wisdom Unity […]

Copyright Worldnationalanthem © 2017